WATUMISHI WA TEA WAAGIZWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA UFANISI.

Dkt. Edith Rwiza Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia akiongea na Wajumbe wa Baraza la Tatu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania wakati alipokuwa anazindua baraza hilo mjini Morogoro. ****************** Na Mwandishi wetu MOROGORO: Watumishi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wameagizwa kuongeza ufanisi katika…

Read More

Mechi nne kumpa mzuka Beimbaya B19 FC

WAKATI Ligi ya Championship ikisimama hadi Aprili 17, 2026 kwa ajili ya mzunguko wa 22, kocha wa timu ya B19 FC, Twaha Beimbaya amesema katika kipindi hiki anataka kukitumia vizuri kwa ajili ya kupata angalau mechi nne zenye ushindani. Akizungumza na Mwanaspoti, Beimbaya amesema hadi sasa wamepata mechi moja dhidi ya KMC inayoshiriki Ligi Kuu…

Read More

Kocha Simba awataja wakali watatu Yanga

KOCHA wa zamani wa Simba, Mbrazili Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema hakuna mchawi yeyote kwenye kikosi cha Yanga bali timu hiyo ilichemka kwenye usajili wa msimu huu. Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusiana na kiwango cha Yanga ambao timu hiyo pamoja na kwamba inaongoza ligi lakini imeshatoka sare kwenye michezo minne hadi sasa baada ya kucheza…

Read More

Jeshi la Yanga laongezwa nguvu

NGUVU imeongezeka Yanga baada ya mastaa baadhi kurejea kikosini na kati yao wanaweza wakawa sehemu ya mechi dhidi ya Tanzania Prisons, inayotarajiwa kupigwa  Aprili 4, kwenye Uwanja wa KMC jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji Prince Dube mwenye mabao sita na beki wa kati Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’, waliumia mechi dhidi ya Azam FC iliyomalizika kwa…

Read More

Rungu la Diarra ni la kumi na tano Ligi Kuu

DJIGUI Diarra jana alitangazwa kufungiwa michezo mitatu na Bodi ya Ligi baada ya kuonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar akiwa ni mchezaji wa 15 kukutana na rungu hilo msimu huu. Kanuni za msimu huu za Ligi Kuu Bara zimeonekana kuwa kali huku wachezaji kadhaa wakikutana na rungu…

Read More

Nidhamu yawaponza mastaa wawili Yanga, watiwa kitanzini

MABOSI wa Yanga wameshamaliza presha iliyokuwa kwenye benchi lao la ufundi wakiweka mambo sawa lakini kuna lingine limeanza kuwakumba mastaa wa timu hiyo wakishushiwa adhabu kali kwa makosa ya kimaadili. Iko hivi, Yanga wana kanuni zao za maadili ambazo wafanyakazi wake wakiwamo wachezaji na makocha zinawataka kukaa mstari mmoja na ukienda kinyume tu hazikuachi salama,…

Read More

Nguvu ya Kikosi cha Galatasaray Yawaogopesha Wapinzani Uturuki

Je unajua ni kipi kimewaangusha Galatasaray kwenye Ligi ya Mabingwa msimu huu?. Licha ya kuwa na kiwango kizuri lakini walipofika pale Anfield mambo yalibadilika. Je wafanye nini msimu ujao kufika mbali? Galatasaray ni klabu inayobeba utambulisho wa kipekee ikiwemo mchanganyiko wa presha ya mashabiki, historia kubwa, na matarajio ya ushindi kila msimu. Ndani ya Süper…

Read More