Orkeeswa yajifua Zanzibar kusaka uzoefu wa kimataifa
KOCHA Mkuu wa timu ya kikapu kwa wanawake ya Orkeeswa kutoka Arusha, Benjamin John amesema ushiriki wao katika mashindano ya Asma Mwinyi Next Generation ni sehemu ya maandalizi ya kikosi hicho kuelekea mashindano ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Juni mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasili Zanzibar kwa ajili ya kushiriki mashindano ya…