Loe hii wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakuletea uchambuzi mzuri wa timu ya Bodoe/Glimt ambao wameshika vichwa hivi karibuni kwenye michuani mikubwa Ulaya yaani UEFA.
Je unajua kuwa Bodoe/Glimt ni moja ya timu ambazo zinapigiwa chapuo kufanya vyema kwenye ligi hiyo ambayo ina shirikisha timu 16 kwenye ligi ambazo zote hupambana kwa hali na mali kubaki kwenye ligi huku zingine zikisaka nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kabla ya kuanza kwa msimu, Bodø/Glimt walifanya usajili wa wachezaji wenye uwezo wa kuongeza nguvu kwenye kikosi. Hii inawapa kocha fursa ya kubadilisha mbinu kulingana na mpinzani, na kuongeza mbadala wa wachezaji wanaoweza kuleta ushindi wakati wowote. Je unajua Meridianbet inatoa ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000?. Bashiri sasa.
Chini ya kocha Kjetil Knutsen wana fursa i kubwa ikiwa watatumia muda wao wa kujiandaa vyema kabla ya mechi zao za kwanza, wanaweza kuanza msimu kwa mafanikio, kuonyesha uthabiti na kujenga morali ya juu kwa kikosi chao.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ikumbukwe kuwa Norway hutoa timu mbili tuuh za kushiriki UEFA yaani zile zinazoshika nafasi ya 1 na ya 2 hivyo ili kushiriki michuano hiyo inabidi uhakikishe unamaliza nafasi mbili za juu pekee na ndivyo walivyofanya mabingwa hawa watetezi wa ligi hiyo.
Kwenye UEFA msimu huu Bodø/Glimt pia walikuwa timu tishia kwelikweli kwani waliweza kuzifunga timu kubwa ambazo hakuna ambaye alitarajia wataweza kupata matokeo hayo.
Waliifunga timu ya Manchester City chini ya Pep Guardiola kwa mshangao mkubwa kabisa hakuna ambaye alidhani akuwa wanaweza kupata matokeo hayo. Wakaja wakamfunga Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wanafanya vizuri kule Hispania.
Bodoe/Glimt ilifanikiwa kufika hatua ya 16 bora ambapo walipangwa kucheza dhidi ya Inter Milan, na mchezo wa kwanza walipata ushindi wa 3-1, lakini bado watu walitarajia timu hii ingeweza kwenda kutolewa pale Sansiro. Cha ajabu ni kwamba mechi ya mkondo wa pili walishinda pia kwa bao 2-1 na kufanya Aggregate kuwa 5-2.
Timu hiyo ilifanikiwa kusonga mbele hadi kwenye hatua ya Robo Fainali ambapo walipangiwa kucheza dhidi ya Sporting CP ya kule Ureno na mechi ya kwanza walianzania nyumbani na kama kawaida walitumia uwanja wao wa nyumbani vizuri kabisa ana wakashinda kwa kishindo mabao 3-0.
Waliposafafiri kwenda Ureno na ndipo ndoto zao zilipokufa za kusonga mbele kwani mechi hiyo ya mkondo wa pili ilimalizika kwa wao kufungwa mabao 5-0, yaani bila hata kufunga bao lolote na kutupwa nje ya mahsindnao haya makubwa Barani Ulaya.
Je msimu huu Bodoe/Glimt atamaliza nafasi ya napi kwenye ligi?. Na je anaweza akafika nafasi ipi endapo akishiriki michuano hii ya Uefa?. Jisajili na ubashiri mechi za ligi kuu ya Norway na Meridianbet.