Mtanzania Afariki Uturuki Baada ya Kudondoka Ghorofa ya 14, Utata Wazuka – Video
Global Publishers March 31, 2026 0 Comments Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikimuonesha Mtanzania aliyefariki dunia baada ya kudondoka kutoka ghorofa ya 14 nchini Uturuki, umeibuka mjadala mkubwa kuhusu mazingira ya tukio hilo. Baadhi ya taarifa zisizothibitishwa zimekuwa zikidai kuwa huenda bosi wa marehemu alihusika kwa kumsukuma kutoka juu ya jengo hilo. Aidha, utata ulijitokeza…