PETROL DAR YAPANDA KWA SHILINGI 956

****** Bei ya mafuta ya petroli imepanda kwa kiwango kikubwa ambapo kwa Jiji la Dar es Salaam imepanda toka shilingi 2,864 kwa lita mwezi Machi hadi kufikia shilingi 3,820 kwa lita mwezi Aprili 2026, kulingana na taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). . Upandaji huo unaonesha kuwa imeongeza…

Read More

FYATU MFYATUZI: Fyatu kutumia wese kufyatua mafyatu

Si kwamba najidai. Hasha. Kwa tunaomilki mikweche na mbavu za mbwa, imekula kwetu. Mwenzenu nimeweka kweche langu juu ya mawe. Naona yule anabeua midomo. Unadhani mchezo usawa huu wa kufyatuliwa na kufyatuana? Kama hujafyatuliwa, usinicheke wala kujihadaa. Utafyatuliwa tu. Tangu Tarampu na Niitenyau wakinukishe kule kulikoungua jembe ukabakia mpini, si mafyatu wachovu tutaipata. Tokana na…

Read More

Wadau wataja sababu, suluhu kujirudia madudu ripoti ya CAG

Dar es Salaam. Haijawahi kupita ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) bila kuibua upotevu wa mabilioni ya fedha wala uzembe katika ufanisi wa usimamizi wa mashirika ya umma. Hii inatoa picha ya kujirudia kwa changamoto; kila mwaka upungufu ukibainishwa, lakini utekelezaji wa ushauri kwa baadhi ya mambo unabaki kitendawili kisichoteguka….

Read More

Kupanda gharama za uwanja Arusha, Wadau wataka uwajibikaji

Wadau mbalimbali wameibua mjadala kuhusu ongezeko la gharama na changamoto za usimamizi katika miradi ya viwanja vya michezo, masuala ya uwajibikaji na uwazi yanapaswa kupewa kipaumbele ili kurejesha imani ya wananchi katika utekelezaji wa miradi ya umma. Wanasisitiza umuhimu wa kufuata taratibu zilizowekwa katika mpango wa miradi kabla ya kuendelea na utekelezaji. Hoja hizo zimetokana…

Read More

Pedro: Yanga kuna shida! Amtaja Moallin

WAKATI baadhi ya mashabiki wa Yanga wakionekana kutofurahia kiwango cha timu hiyo, kocha mkuu Pedro Goncalves amesema baadhi ya watu wanalalamika bila kujali kwamba timu inafanya vizuri. Vilevile amegusia ujio wa Abdihamid Moalin kwamba halikuwa pendekezo lake, lakini anaamini kuwa ataisaidia klabu hiyo kufika mbali. Yanga ambayo ilianzishwa miaka 91 iliyopita, inaongoza msimamo wa Ligi…

Read More

Yazindua Mfumo Mpya wa Makombora Yatangaza Mkakati Mpya wa Ulinzi

Global Publishers April 1, 2026 0 Comments TOKYO, Tokyo — Japan imeanza rasmi kutumia mfumo wake wa kwanza wa makombora ya masafa marefu katika kambi ya kijeshi ya kusini-magharibi, hatua inayolenga kuimarisha uwezo wa ulinzi na kujibu vitisho vinavyozidi kuongezeka katika eneo la Asia. Kulingana na maafisa, makombora yaliyoboreshwa ya aina ya Type-12 land-to-ship, yaliyotengenezwa…

Read More

Makosa Yanayosababisha Wanawake Wasiolewe Yapo Hapa!

WAHENGA huwa wana misemo yao ile kwamba sijui kuolewa ni bahati, kuolewa ni tabia na mingine mingi tu. Leo nataka tujadili juu ya makosa ambayo wanawake wengi wanayafanya na kujikuta wakishindwa kuolewa.  Wanawake wengi wamekuwa wakikwama kuolewa bila kujua sababu ni nini. Au hata kama wanajua kuna ile hali fulani ya ubishi, ujeuri ambao unachangia…

Read More