Atletico Madrid Wazidiwa Mbio, Barca na Madrid Wapeta

Je unajua Atletico Madrid inaweza kukupatia pesa ukibashiri mechi zake zote hapa?. ODDS zake mara nyingi huvutia hivyo ingia kwenye akaunti yako na uweze kutengeneza pesa hapa.

Kikosi cha Diego Simeone yaani Atletico Madrid wameendelea kuwa ni moja ya timu hatari kule Hispania msimu huu kutokana na ubora ambao wamekuwa wakiuonesha kwenye mechi zako wanazocheza licha ya kuwa na matokeo mseto.

Atletico bado wanabaki kuwa washindani, lakini si kwa uthabiti unaohitajika kushindana na vigogo kama Real Madrid na Barcelona. Tatizo kubwa limekuwa ni kukosa consistency wanapoteza pointi muhimu dhidi ya timu ndogo, jambo linalowarudisha nyuma kila wanapojaribu kusogea juu ya msimamo.

Upande wa kikosi, Atletico wana wachezaji wenye ubora kama Antoine Griezmann ambaye anaondoka msimu huu kuelekea Orlando City. Lakini utegemezi mkubwa kwake unawaathiri anapokuwa nje ya kiwango, timu nzima inashuka. Pia kuna changamoto ya safu ya ushambuliaji kukosa consistency, huku safu ya ulinzi ikionyesha dalili za kupoteza uimara wake wa zamani.

Mpaka sasa kule LaLiga, Atletico Madrid wamekuwa wakipambana kubaki kwenye nafasi za juu ambapo hadi sasa wapo nafasi ya 4 baada ya kukusanya pointi zao 57 kwenye michezo 29 ambayo wamecheza na wakiwa nyuma kwa pointi 16 kwa kinara wa ligi.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Timu hiyo ina wachezaji wazuri sana ambao hufanya vyema kwenye mechi kubwa na safari hii imeongeza wachezaji kama Ademola Lookman ambaye ataenda kusaidiana na kina Solorth, Giuliano Simeone, Koke na wengine kibao.

Julian Alvarez ambaye pia alijiunga na timu hiyo amekuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi hicho, lakini pia ni mchezaji ambaye anahitaji sana na baadhi ya timu kutoka Uingereza ikiwemo, Chelsea, Arsenal na zingine. Lakini mpaka sasa bado mustakabali wake hujajulikana.

Atletico Madrid kwenye ligi ya Mabingwa Ulaya yaani UEFA Champions League, wameendelea kufanya vizuri ambapo mpaka sasa wapo hatua ya Robo Fainali na wamepangwa kucheza dhidi ya FC Barcelona hivyo badi Simeone ana kibarua kizito kabisa mbele ya vijana wa Hans Flick.

Ni mechi ngumu kabisa lakini pia kama wakichanga karata zao vizuri wanaweza wakaibuka na ushindi kwani hii si mara ya kwanza kukutana hawa wawili. Je unadhani Barca watakubali kutolewa kwenye UEFA?. Bashiri hapa.

Atletico Madrid ni timu ambayo bado ina uwezo wa kushindana katika mashindano yote, lakini imekosa ule uthabiti wa kuwa mabingwa. Ili kurejea kileleni, wanahitaji kuongeza ubunifu katika safu ya ushambuliaji, kupunguza utegemezi kwa mchezaji mmoja, na kubadilika kimfumo ili kuendana na mahitaji ya soka la kisasa. Bila kufanya hivyo, wataendelea kubaki kwenye kundi la timu bora lakini si mabingwa wanaotawala.