SHAROBARO WA NYUMBU NDANI YA NDUTU

Sharobaro  wa Nyumbu  au kijana wa nyumbu anayezaliwa Ndutu ni tofauti na vijana binadamu wanaozaliwa mijini kama  Dar es Salaam Nyumbu wana mpangilio wa kushika mimba na kuzaliwa kwa pamoja kitaalumu (Synchronization.) Hii ni moja ya maajabu makubwa ya nyumbu wanaopatikana Hifadhi ya Ngorongoro  na wanaokamilisha ikolojia ya Nyumbu katika mfumo wa Serengeti. Ndama wa…

Read More

UREKEBU WA SHERIA WATAJWA KUONGEZA UWAZI NA KUPUNGUZA RUSHW

………… Na Carlos Claudio, Dodoma. Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi wanazielewa sheria za nchi kwa kuzitafsiri katika lugha ya Kiswahili, hatua inayolenga kuongeza uelewa, uwajibikaji na upatikanaji wa haki kwa kila Mtanzania. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa mafunzo ya sheria kwa waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Divisheni ya…

Read More

Tofauti ya wenza kuishi pamoja na kwa pamoja

Canada. Kuna ndoa nyingi ambapo wanandoa wanaishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja lakini hawaishi pamoja. Kimwili wako pamoja japo kiroho wako dunia tofauti.  Wanaishi kwa pamoja ila si pamoja. Tuliwahi kugusia madhara ya mitandao na rununu. Mfano, unakuta mke au mume hana haki wala mamlaka ya kujua nywila ya simu ya mwenzake achia mbali…

Read More

Mawasiliano na maelewano yanavyojenga ndoa imara

Dar es Salaam. Ndoa si muunganiko wa watu wawili wakamilifu, bali ni muungano wa watu wawili ambao wamekubali kuvumiliana na kuelewana licha ya upungufu wao. Katika ulimwengu wa sasa ambapo migogoro ya kifamilia imekuwa sehemu ya habari za kila siku, siri kubwa ya wanandoa wanaodumu kwa furaha haipo kwenye utajiri au uzuri wa sura, bali…

Read More

Unataka maisha ya furaha na kuridhika?

Dar es Salaam. Maisha ya furaha na utoshelevu si matokeo ya bahati, bali ni zao la uamuzi na juhudi za makusudi anazofanya mtu kila siku. Katika ulimwengu wa sasa wenye kasi, presha za maisha, kazi na uhusiano vimekuwa chanzo kikubwa cha msongo wa mawazo kwa watu wengi. Hata hivyo, wataalamu wa afya ya akili wanaeleza…

Read More

Upepo ulivyobadilika Chaumma, kwafukuta | Mwananchi

Dar es Salaam. Baada ya miezi kadhaa ya ukwasi wa ghafla, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kinadaiwa kuangukia katika hali ya ukata, migongano ya wanachama na viongozi huku maswali lukuki yakikosa majibu. Mabadiliko hayo ya hali ya uchumi wa chama hicho, yamesababisha baadhi ya wanachama wake, wadai taarifa ya mapato na matumizi, kujua kiasi…

Read More

Usimkatie tamaa mtoto mtukutu, fanya haya

Katika safari ya malezi karibu kila mzazi hukutana na changamoto ya kulea mtoto anayejulikana kama ‘mtukutu.’ Huyu ni mtoto anayependa ukaidi, anayeonekana kutosikiliza maelekezo, anayejibu bila hofu au anayevuka mipaka ya malezi inayotarajiwa na family au majirani na watu wengine. Mara nyingi mtoto wa aina hii huibua hisia za hasira, fedheha au kukata tamaa kwa…

Read More

Gen Z wanavyotazama ndoa,  uhusiano

Dar es Salaam.Barani Afrika, uhusiano wa kimapenzi unabadilika kwa kasi. Vijana wa kizazi cha Generation Z, waliozaliwa kati ya 1997 na 2012, wanapendelea njia mpya za upendo, tofauti na zile za vizazi vya awali. Teknolojia, miji mikubwa, na ujumuishi wa kijamii vimechukua nafasi kubwa katika jinsi vijana wanavyopata wapenzi na kudumisha uhusiano. Kwa vizazi vya…

Read More

ONGEA NA AUNT BETTIE: Mume wangu ‘amekata pumzi’ kitandani baada ya ndoa

Sijui alikuwa anajiunga na maungaunga ya kuongeza nguvu za kiume ama vipi. Maana alivyokuwa tulipokuwa wapenzi na sasa ni tofauti. Anti hata sijui nikuambie nini, ningejua mume wangu hajiwezi kitandani hivi, nisingefunga ndoa naye maana nahisi nitakuwa msaliti kwa sababu hana anachonifanyia zaidi ya kujipigisha makelele. Ila tulivyokuwa wapenzi tunakutana mara moja moja alikuwa shababi…

Read More