MAMBO 6 YA KUMFANYIA MPENZI/MCHUMBA ASIKUSAHAU MILELE

Kuna mambo ya msingi ambayo mwanamke anahitaji kutoka kwa mwanamme ili kufurahi na kutulia katika mahusiano japokuwa sio rahisi kukwambia mojakwa moja.Na endapo utasoma na kufwata mafundisho haya lazima mwanamke wako hatokusahau hata kama mkiachana YAKUZINGATIA YAPO HAPO CHINI 1.Kuridhishwa Kwenye tendo la ndoa Mwanamke anapenda aridhishwe Kwenye tendo la ndoa. Hata kama utakuwa na…

Read More

Kocha Simba ataja chaguo jipya la Okello

MASHABIKI wa soka wa Yanga bado hawajui kilichoipata timu hiyo yenye nyota wakali na walioonekana huenda ikawa timu pekee ya Tanzania kutinga robo fainali kabla ya upepo kubadilika ghafla, lakini kuna kocha mmoja ameamua kufichua ‘code’ zinazoweza kuwabeba wananchi katika mechi ya mwisho ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Kabylie…

Read More

Baada ya Miongo ya Kukanusha na Kunyamaza, Mateso ya Watu wa Rohingya Yanasikilizwa katika Mahakama ya Juu Zaidi Duniani’ — Global Issues

na CIVICUS Jumatatu, Februari 09, 2026 Inter Press Service CIVICUS inajadili kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya Myanmar katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) na Mohammed Nowkhim wa Jumuiya ya Amani na Haki za Kibinadamu ya Arakan Rohingya (ARSPHR), asasi ya kiraia inayoongozwa na watu wa Rohingya waliozaliwa nje ya kambi za wakimbizi…

Read More

Pangilia na Asili au Kuanguka kwa Hatari, Ripoti ya IPBES Inaonya – Masuala ya Ulimwenguni

Shughuli za biashara zenye asilia nzuri zinaweza kuchangia mafanikio ya biashara na mazingira, kulingana na Tathmini ya Biashara ya Bioanuwai ya IPBES. Credit: iStock/IPBES by Busani Bafana (bulawayo, zimbabwe & manchester, united kingdom) Jumatatu, Februari 09, 2026 Inter Press Service BULAWAYO, Zimbabwe & MANCHESTER, Uingereza, Februari 9 (IPS) – Biashara bado inaweza kubaki na faida…

Read More

BALOZI CP KAGANDA AKUTANA NA DIASPORA KUJADILI FURSA ZA KIUCHUMI

::::::::: Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na wanachama wa jumuiya za Watanzania wanaoishi katika maeneo ya Hwange na Bulawayo nchini Zimbabwe. Lengo la mkutano huo lilikuwa ni kujadili masuala mbalimbali yanayowahusu Watanzania wanaoishi nje ya nchi, yakiwemo ushiriki wao katika…

Read More

IAEA Yaipongeza Zanzibar kwa Ushirikiano Katika Kilimo na Mifugo

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Mhe. Suleiman Masoud Makame, amelishukuru Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) kwa namna shirika hilo linavyoisaidia Zanzibar katika sekta ya kilimo na mifugo. Akizungumza katika ofisi za Wizara ya Kilimo Zanzibar baada ya kupokea ugeni kutoka IAEA, ugeni ulioongozwa na Bwana…

Read More