Walemavu 110 kukutanishwa Kilimanjaro usiku wa ‘Night to shine’

Moshi. Wakati jamii ikitakiwa kuwaibua na kutowaonea aibu watu wenye ulemavu nchini,   Shirika la New Life Foundation mkoani Kilimanjaro limepanga kuwakutanisha walemavu 110 mkoani humo kama ishara ya kuwathamini na kuwatambua. Katika siku hiyo maalumu iliyopewa jina “Night to Shine” ambayo itafanyika Februari 13, 2026, watavalishwa mataji maalumu kama ishara ya kuthaminiwa katika jamii, na…

Read More

YASSIN AWAJULIA HALI WAANDISHI WA HABARI MAJERUHI WA AJALI IRINGA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Daud Yassin, amewatembelea waandishi wa habari waliopata majeraha kufuatia ajali ya gari iliyotokea tarehe 5 Februari 2026 mkoani Iringa. Ajali hiyo ilitokea katika Kijiji cha Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, wakati waandishi wa habari wakirejea kutoka Idodi walikohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 49 ya…

Read More

BARABARA ZA TANZANIA ZINA THAMANI YA TRILIONI 40-ULEGA

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV Arusha TANZANIA inaelezwa kuwa na utajiri wa miundombinu ya barabara wenye thamani ya zaidi ya Sh.trilioni 38 hivyo kazi kubwa ya Serikali ni kuhakikisha inalinda miundombinu hiyo kwa kuzifanyia ukarabati wa kila mara. Hayo yameelezwa leo 9 Januari 2026, Jijini Arusha na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega wakati wa ufunguzi…

Read More

Vigogo Bara wapewa mchekea Shirikisho

DROO ya mechi za hatua ya 64-Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) imefanyika jana na vigogo va Ligi Kuu Bara ikiwamo, Simba, Yanga, Azam FC na Singida Black Stars zikipangwa na timu zinazoonekana mchekea katika hatua hiyo kusaka tiketi ya kusaka uwakilishi wa michuano ya CAF. Katika droo hiyo iliyofanyika jijini Dar es…

Read More

KATORO YAPOKEA GARI LA ZIMAMOTO

Serikali mkoani Geita imeikabidhi gari la zimamoto mamlaka ya mji mdogo wa Katoro gari ambapo linatarajiwa kuwa Msaada mkubwa kwa wananchi wa mji huo. Mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigella amezindua gari hilo ambalo lina uwezo wa kubeba jumla ya Lita 5000 za maji ya kuzimia moto pamoja na form compound Lita 500. Akizungumza…

Read More

KMC yaongoza ‘ligi’ ya kujiweka

KIKOSI cha KMC kinajindaa kushuka uwanjani jioni ya kesho Jumatano ikiwa wenyeji wa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku ikiwa ni kama imekumbwa na mdudu mbaya, kwani licha ya kuanza vibaya msimu huu ikiburuza mkia kwa muda mrefu, pia inaongoza ‘ligi ndogo’ ya kujifunga. KMC iliyopanda Ligi Kuu msimu wa 2018-2019 na kufanya…

Read More