Ukaguzi, usajili na uteuzi maofisa ulinzi taarifa binafsi mbioni kuanza
Mbeya. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imetangaza kuwa inatarajia kuanza ukaguzi wa uzingatiaji wa sheria kwa kufuatilia utekelezaji wa maagizo ya usajili na uteuzi wa maofisa ulinzi wa taarifa binafsi, pamoja na kuchukua hatua za kisheria pale ukiukwaji utakapobainika. Akizungumza Februari 11, 2026 jijini Mbeya wakati wa ufunguzi wa semina kwa maofisa ulinzi…