Tajiri atinga mazoezi Yanga Zanzibar 

WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea na mazoezi usiku huu kwenye Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar mdhamini wa timu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM), ameibuka mazoezi hapo. Iko hivi; Yanga ilianza mazoezi saa 1 kamili jioni ikiwa na wachezaji wote akikosekana Mohamed Damaro ambaye hatakuwepo kutokana na adhabu ya kadi za njano. Katikati ya…

Read More

Heche asimulia maumivu aliyopitia katika siasa-2

Dar es Salaam. Katika siasa za Tanzania, miongoni mwa majina yanayoibua hisia kali ni la John Heche, makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Akiwa mmoja wa wanasiasa vijana waliokulia katika harakati za upinzani, safari yake imegubikwa na misukosuko, misimamo mikali na mapambano yasiyoisha. Katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika Februari 10, 2026,…

Read More

Utafiti waonya utegemezi wa Dar kwa mapato ya kodi

Dar es Salaam. Wakati takwimu zikionesha asilimia 70 ya mapato ya kodi nchini kukusanywa katika Jiji la Dar es Salaam, utafiti mpya umeonya kuwa utegemezi mkubwa wa mkoa mmoja si endelevu na unaweza kuathiri azma ya Tanzania kufikia uchumi wa dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Utafiti huo unapendekeza kufanyika kwa mageuzi ya kina yatakayohamasisha…

Read More

Mhe. Mchengerwa afungua kikao cha Mawaziri wa Afrika wa Afya kuhusu kampeni ya kupunguza vifo vya mama na mtoto (CARMMA) kwa niaba ya Rais Samia

 Azitaka nchi za Afrika kuunganisha nguvu  Wajumbe wamsifu Rais Samia kwa kuwa kinara Na John Mapepele- Addis Abbaba.  Waziri wa afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa  amesema Afrika inatakiwa kuunganisha nguvu katika kuweka mikakati ya pamoja  katika kupunguza  vifo vya mama  na mtoto ili kuondokana na  changamoto  hiyo. Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo leo Februari…

Read More

Lissu alivyomhoji maswali shahidi fiche wa Jamhuri

Dar es Salaam. Shahidi wa tano wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema hajawahi kutoa taarifa polisi kuhusu kutishiwa maisha, wala hajawahi kupokea vitisho vyovyote vinavyohusiana na ushahidi wake. Shahidi huyo ni mmoja wa mashahidi fiche wa Jamhuri waliowekewa ulinzi wa Mahakama na wasiopaswa…

Read More

Serikali yatoa vitabu vya mkondo wa amali

Dar es Salaam. Serikali imetoa vitabu vya 18,354 masomo ya elimu ya amali  kwa shule zote za sekondari za umma na binafsi nchini, hatua inayolenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji na ujifunzaji sambamba na kuwawezesha wanafunzi kujipatia ujuzi utakaowasaidia kujiajiri au kuajiriwa baada ya kuhitimu masomo yao. Akizungumza leo Februari 13, 2026 wakati wa hafla ya…

Read More