Katika mikono ya wavumbuzi kutoka Global South, AI inaweza kubadilisha maisha – Masuala ya Ulimwenguni

Wakataji wa malisho ni mashine za kutisha zenye vilele vikubwa vya mviringo vinavyozunguka kwa kasi kubwa, vinavyoendeshwa na jenereta ndogo. Wakiendeshwa na wafanyakazi wa mashambani katika nchi kadhaa zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na India, Pakistani na Kenya, wanahatarisha mara kwa mara – wengi wamekatwa mikono au mikono kufuatia ajali. Matokeo yake ni mabaya sana. Kazi…

Read More

UMOJA WA KINAMAMA KIHESA WATOA ZAWADI SHULE YA VIZIWI IRINGA SIKU YA WAPENDANAO.

Kikundi cha Kinamama Kihesa kilichoanzishwa mwaka 2008 leo kimeadhimisha Siku ya Wapendanao kwa kufanya sherehe ya pamoja na kutembelea Shule ya Viziwi ya Iringa ambapo wametoa zawadi mbalimbali kwa wanafunzi na walezi wao. Akizungumza katika hafla hiyo Mwenyekiti wa kikundi hicho Upendo Makasi amewashukuru wanachama kwa kuendelea kudumisha umoja na mshikamano tangu kuanzishwa kwa kikundi…

Read More

Dk Mwigulu ashtukia ‘kichaka cha gharama’, asema…

Tanga/Dar. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, ameendelea kukunjua makucha baada ya kuiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matumizi ya fedha za miradi ya maendeleo, kwa kile alichokiita ‘kichaka cha gharama’ kinachotumiwa kuhalalisha upotevu wa fedha za umma. Dk Mwigulu ametoa maagizo hayo leo, Jumamosi, Februari 14, 2026,…

Read More

RC Mbeya amwagiza RPC kuongeza kasi kudhibiti ubakaji, ulawiti

Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, amemuagiza Kamanda wa Polisi, Benjamin Kuzaga, kuelekeza nguvu katika kukabiliana na matukio ya ubakaji, ulawiti na ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto. Malisa ametoa agizo hilo leo, Jumamosi, Februari 14, 2026, baada ya kukagua gwaride na kukabidhi tuzo kwa askari 15 waliofanya vizuri katika nyanja mbalimbali, hususan…

Read More

Familia tano zabaki bila makazi baada ya ajali ya moto Moshi

Moshi. Familia tano zimebaki bila makazi baada ya moto kuteketeza nyumba ya wapangaji yenye vyumba sita katika Mtaa wa Kanisani, Kata ya Bomambuzi, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Gadafi Dauda Masudi amesema tukio hilo limetokea leo Jumamosi  Februari 14, 2026 asubuhi lakini halikusababisha madhara…

Read More