RC Mbeya amwagiza RPC kuongeza kasi kudhibiti ubakaji, ulawiti
Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Beno Malisa, amemuagiza Kamanda wa Polisi, Benjamin Kuzaga, kuelekeza nguvu katika kukabiliana na matukio ya ubakaji, ulawiti na ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto. Malisa ametoa agizo hilo leo, Jumamosi, Februari 14, 2026, baada ya kukagua gwaride na kukabidhi tuzo kwa askari 15 waliofanya vizuri katika nyanja mbalimbali, hususan…