TWCC: Wanawake tumieni ongezeko la watu nchini kujiinua kiuchumi

Dar es Salaam. Chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania ((TWCC) imesema idadi kubwa ya watu nchini ni fursa muhimu ya kiuchumi inayoweza kutumiwa na wanawake na vijana kujikwamua kupitia biashara na uwekezaji. Akizungumza leo Jumamosi Februari, 14, 2026 katika mkutano wa wanachama unaoenda sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya kuwezesha wanawake, Rais wa TWCC, Mercy…

Read More

Watu watatu waliohukumiwa kunyongwa kwa mauaji waachiwa huru

Arusha. Mahakama ya Rufaa iliyoketi Mbeya, imewaachia huru watu watatu waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya mauaji. Walioachiwa huru ni Masikitiko Lusambo, Huruma Mwasile na Aman Mswima ambao Juni 22,2023 walihukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, adhabu hiyo baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya Shukuru Sandala. Warufani…

Read More

Wananchi 1,123 Ifakara wapewa kadi za bima ya afya kwa wote

Ifakara. Halmashauri ya Mji Ifakara imeendelea na mpango wa kugawa kadi za bima ya afya kwa wananchi walioainishwa kwenye mpango huo mpaka sasa walioandikishwa na kupewa kadi ni 1,123 kati ya 4,161 wanaolengwa. Akitoa taarifa ya utekelezaji wa mpango huo leo, Jumamosi  Februari 14 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara Pilly Kitwana amesema mpaka sasa…

Read More

Mikoa minne Tanzania kunufaika na mpango wa matumizi ya ardhi

Iringa. Katika kuhakikisha ardhi inatumika kwa tija, uwazi na kwa kuzingatia misingi ya uhifadhi na maendeleo, vijiji 160 vya mikoa ya Iringa, Ruvuma, Njombe na Lindi inatarajiwa kunufaika na uandaaji wa mipango ya natumizi ya ardhi. Ushirikiano huo unalenga kupunguza migogoro ya ardhi, kulinda misitu na bioanuwai, na kuongeza ushiriki wa jamii katika maamuzi yanayohusu…

Read More

Kocha Mtibwa afichua kilichowaangusha | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mkenya Yusuf Chippo, ametaja sababu iliyowaangusha wakaambulia kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Mashujaa kuwa ni kutokana na wachezaji kukosa umakini katika eneo la kujilinda. Katika mechi hiyo iliyopigwa juzi kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, mabao ya Mashujaa yalifungwa na Hassan Hadji ‘Cheda’, Jaffary Kibaya na Abdul Bakari, huku…

Read More

Julio asaka msaidizi Mashujaa FC

KOCHA Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameanza kwa kishindo kazi ya kuinoa Mashujaa ya Kigoma baada ya juzi usiku kuizima Mtibwa Sugar ikiwa uwanja wake wa nyumbani wa Jamhuri Dodoma kwa mabao 3-1, huku akiweka bayana anapambana kupata wa kumsaidia kikosini. Julio aliyetambulishwa katika ya wiki hii na maafande hao wa Mashujaa walioandika rekodi ya aina yake…

Read More

JKT, Coastal yajirudia baada ya miaka sita

SARE ya kufungana bao 1-1 kati JKT Tanzania na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa juzi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni ni ya kwanza timu hizo baada ya kupita miaka sita. Kabla ya mechi hiyo, mara ya mwisho kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1, ilikuwa ni Februari 4,…

Read More