2026
Fahamu Maajabu ya Bentley: Magari ya Kifahari Yanayovutia Wapenzi wa Kasi
Fahamu Maajabu ya Bentley: Magari ya Kifahari Yanayovutia Wapenzi wa Kasi – Global Publishers Home Habari Fahamu Maajabu ya Bentley: Magari ya Kifahari Yanayovutia Wapenzi wa Kasi
MAHOJIANO MAALUMU: Wasira ataja muundo wa maridhiano, agusia kesi za kisiasa
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema kwa hali ilivyo muundo wa maridhiano unapaswa kuihusisha Serikali ili iiongoze jamii kuridhiana. Amefafanua kuhusu maridhiano ilhali kuna viongozi wa kisiasa wanaoshikiliwa na vyombo vya dola, akisema kuridhiana hakupaswi kuchanganywa na uhalifu, kama mtu amevunja sheria anastahili kuwajibishwa kama raia mwingine….
Diamond Ashangaza Mashabiki kwa Kumpongeza Kiredio na Vee Dollarz
Diamond Ashangaza Mashabiki kwa Kumpongeza Kiredio na Vee Dollarz – Global Publishers Home Burudani Diamond Ashangaza Mashabiki kwa Kumpongeza Kiredio na Vee Dollarz
Ukiwa na Tabia Hizi, Mwanaume Lazima Akukimbie!
MUNGU ni mwema wapenzi wasomaji wa safu hii. Jumatatu nyingine tena tunakutana na kuweza kupeana darasa la uhusiano. Kujifunza ni muhimu, hakika ukifuatilia makala haya ya leo, utajifunza kitu. Twende pamoja! Kupitia safu hii nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa wanawake. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu,…
TRA Yaanza Kutekeleza Maagizo ya Rais Samia Karatu
TRA Yaanza Kutekeleza Maagizo ya Rais Samia Karatu – Global Publishers Home Habari TRA Yaanza Kutekeleza Maagizo ya Rais Samia Karatu
G Nako wa Weusi Aachia Video Mpya ya ‘Kula Bia’ – Video
G Nako wa Weusi Aachia Video Mpya ya ‘Kula Bia’ – Video – Global Publishers Home Audio Music G Nako wa Weusi Aachia Video Mpya ya ‘Kula Bia’ – Video
Kariakoo Dabi ya Machi mosi kupigwa ‘Gwantanamo Bay’
MECHI ya watani wa jadi, Yanga dhidi ya Simba maarufu Kariakoo Dabi iliyopangwa kufanyika Machi 1, 2026, itachezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Hayo yamesemwa na Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ambao ni wenyeji wa mechi hiyo ikiwa ni ya mzunguko wa kwanza katika Ligi Kuu Bara. Kamwe ametoa kauli hiyo muda mchache…
HESLB yaanza kupokea maombi ya mikopo Diploma
Na: Mwandishi Wetu, DAR Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanza rasmi kupokea maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ngazi ya Stashahada (Diploma) katika kozi za vipaumbele wanaotarajiwa kudahiliwa mwezi Machi, 2026. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dk. Bill Kiwia, Jijini Dar es Salaam ambapo dirisha la maombi…
Azam FC, kama Singida Shirikisho Afrika
AZAM FC leo imekamilisha ratiba ya meci za makundi kwa kipigo cha mabao 2-0 ugenini mbele ya Wydad AC ya Morocco na kuunganana na Singida Black Stars kung’oka katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Wawakilishi hao wa Tanzania walikumbana na kipigo hicho kwenye Uwanja wa Mohammed V, Casablanca ambapo licha ya kukomaa na kwenda…