Kigogo arejea Mbeya City na ujumbe, mashabiki mzuka

ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu wa Mbeya City, Ally Nnunduma amesema licha ya timu hiyo kuanza msimu kwa matokeo yasiyoridhisha, lakini ina uwezo wa kumaliza kibabe Ligi Kuu Bara kutokana na mipango na mikakati ya ndani na nje ya uwanja. Nnunduma aliiongoza Mbeya City kwa takriban misimu miwili akipokea nafasi ya mtangulizi wake, Emanuel Kimbe ambapo anakumbukwa…

Read More

Ripoti ya Umoja wa Mataifa yaonya kuhusu uhalifu wa kivita katika gazeti la El Fasher la Sudan – Global Issues

“Kutoadhibiwa kwa kudumu kunachochea mizunguko ya vurugu,” alisema Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Volker Türk, akitoa wito wa uchunguzi wa kuaminika na uwajibikaji kwa wahalifu. Jeshi la taifa la Sudan na wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF) wamekuwa wakipigana wenyewe kwa wenyewe kutaka kudhibiti nchi hiyo kwa takriban miaka mitatu….

Read More

Mziki umefikia patamu Championship 2025/26

LIGI ya Championship inayotoa timu za kupanda Ligi Kuu kwa sasa imefikia patamu wakati raundi ya 18 ikitarajiwa kupigwa leo Jumamosi kwa mechi tatu kwenye viwanja mbalimbali na nyingine zikiendelea kesho Jumapili, huku ushindani ukipamba moto kwa kila timu kujiwekea mazingira bora. Kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, African Sports inayoburuza mkiani na pointi nane, baada…

Read More

TRA YAANZISHA KITENGO CHA DRONE KUKABILI MAGENDO

*********** Mamlaka ya Mapato Tanzania kupitia Idara ya Forodha na Ushuru ipo mbioni kuanza kutumia ndege nyuki (Drone) kudhibiti magendo hatua ambayo imetanguliwa na kuanzishwa kwa kitengo cha Drone pamoja na kutolewa kwa mafuzno kwa watumishi watakaofanya kazi katika kitengo hicho. Akizungumza na waandishi wa habari jijiji Dar es Salaam Februari 13,2026 wakati wa mafunzo…

Read More

EA uhakika AFCON 2027, Motsepe atuliza hali ya hewa

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe amezihakikishia nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuwa zitaandaa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kama ilivyopangwa. Motsepe ametoa uhakika huo leo, Ijumaa, Februari 13, 2027 wakati akitoa mrejesho wa Kikao cha Kamati ya Utendaji ya CAF kilichoketi Dar es Salaam. Motsepe amesema…

Read More

NMB yadhamini Maonesho ya ‘Tri-Nations Livestock Expo’ kwa Mil. 300/- Serikali yaipongeza

 Katika kuunga Mkono jitihada za Serikali za kukuza shughuli za ufugaji nchini, Benki ya NMB imesaini makubaliano ya udhamini wa miaka mitatu kwaajili ya maonesho ya Mifugo ya Kimataifa (Tri-Nations Livestock Expo 2026-2028) ambayo yatashirikisha wafugaji kutoka nchi za Tanzania, Kenya na Namibia. Maonesho haya ya mifugo hufanyika kila mwaka, na kwa mwaka huu, yatafanyika…

Read More