SERIKALI YAONGEZA USHIRIKIANO NA WADAU

Na Mwandishi wetu – Dodoma SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imeendelea kuimarisha ushirikiano na wadau wa mahusiano nchini kwa lengo la kutambulisha jukumu la sekta hiyo na kukusanya maoni yatakayosaidia kuandaa na kuboresha nyaraka za uimarishaji wa mahusiano. Akizungumza Februari 13, 2026 jijini Dodoma wakati wa ziara yake katika…

Read More

TANROADS Dodoma yapokea bilioni 15.6 Kutoka Mfuko wa Barabara

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Mhandisi Mussa Natty, akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Matengenezo ya Barabara TANROADS Mhandisi Dkt. Christina Kayoza wakati wa ziara ya ukaguzi wa barabara ya Dodoma hadi Mtera km 140.6 uliofanywa na Bodi ya Mfuko wa Barabara. Kulia ni Neema Mhondo Mjumbe wa Bodi hiyo. **************Na Mwandishi Wetu,Dodoma. Hadi kufikia…

Read More