Miracle Experience Balloon Safaris Yatwaa Tuzo ya Muendeshaji Bora wa Safari za Puto Tanzania
KAMPUNI ya utalii wa puto angani, Miracle Experience Balloon Safaris, imetajwa kuwa Muendeshaji Bora wa Safari za Puto Tanzania katika tuzo za Serengeti Awards zilizofanyika Desemba 19, 2025. Hafla hiyo iliandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kwa lengo la kutambua mchango wa wadau wanaoendeleza sekta ya utalii nchini. Tuzo hiyo ni sehemu ya mpango…