Mchengerwa afungua kikao cha Mawaziri wa Afrika wa Afya kuhusu kampeni ya kupunguza vifo vya mama na mtoto (CARMMA) kwa niaba ya Rais Samia9

-Azitaka nchi za Afrika kuunganisha nguvu -Wajumbe wamsifu Rais Samia kwa kuwa kinara Na John Mapepele- Addis Abbaba.  Waziri wa afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa  amesema Afrika inatakiwa kuunganisha nguvu katika kuweka mikakati ya pamoja  katika kupunguza  vifo vya mama  na mtoto ili kuondokana na  changamoto  hiyo. Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo leo Februari 13, 2026…

Read More

ICTC YASISITIZA WADAU KUSHIRIKI TUZO ZA TEHAMA 2026

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA Dkt Nkunde Mwasaga akizungumza na wanahabari jijini Dar es salaam akitoa taarifa ya kufanyika Tuzo za TEHAMA 2026. ……………… NA MUSSA KHALID Tume ya TEHAMA nchini (ICTC) kwa kushirikiana na wadau wa TEHAMA inatarajia kutoa tuzo ya TEHAMA 2026 ikiwa ni kutambua uvumbuzi, mabadiliko ya kidijitali, na ubora wa…

Read More

DKT. MWIGULU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UMEME-MKATA

…………………. *📌Ni ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme chenye uwezo wa MVA 60.* *📌Mradi kugharimu takribani bilioni 44.*  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 12, 2026 amekagua na kuweka jiwe la msingi la Mradi wa ujenzi kituo cha kupokea na kupoza umeme cha MVA 60 Mkatata…

Read More

Kuwalinda watoto vitani ni ufunguo wa amani ya kudumu, mjumbe mkuu wa Umoja wa Mataifa aonya – Masuala ya Ulimwenguni

Katika mahojiano maalum na Habari za Umoja wa Mataifa, Mwakilishi Maalum wa Watoto na Migogoro ya SilahaVanessa Frazier, alitafakari kuhusu ongezeko la kutisha la ukiukaji mkubwa dhidi ya watoto na uhitaji wa haraka wa kulinda maisha yao ya baadaye. “Uajiri na utumiaji wa watoto bado moja ya ukiukwaji mkubwa na mbaya sana tunaokabiliana nao. Mnamo…

Read More

FCC yakamata madumu 5000 ya Vilainishi vya magari

Na Mwandishi Wetu  Tume ya Ushindani (FCC) imesema kufuatia taarifa za kiintelijensia katika soko la Kariakoo ilifanya operesheni ya ukamataji   wa vilainishi bandia vya magari vilivyokuwa na alama za biashara zinazomilikiwa bila ridhaa za wamiliki wa alama hizo.  Katika taarifa iliyotoelwa na Kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano ya Umma Tume ya Ushindani (FCC)   imesema operesheni…

Read More

Tshabalala ateka shoo mazoezini Zanzibar

WAKATI Yanga ikijiandaa na mechi ya mwisho ya Kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Kabylie ya Algeria, kuna ishara kuwa mabingwa hao wa Tanzania hawataki kuacha jambo. Yanga inahitaji ushindi wa zaidi ya bao moja ili kukata tiketi ya kwenda robo fainali, huku ikisikilizia matokeo ya mechi kati ya Al Alhy…

Read More

Tajiri atinga mazoezi Yanga Zanzibar 

WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea na mazoezi usiku huu kwenye Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar mdhamini wa timu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM), ameibuka mazoezi hapo. Iko hivi; Yanga ilianza mazoezi saa 1 kamili jioni ikiwa na wachezaji wote akikosekana Mohamed Damaro ambaye hatakuwepo kutokana na adhabu ya kadi za njano. Katikati ya…

Read More

Heche asimulia maumivu aliyopitia katika siasa-2

Dar es Salaam. Katika siasa za Tanzania, miongoni mwa majina yanayoibua hisia kali ni la John Heche, makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Akiwa mmoja wa wanasiasa vijana waliokulia katika harakati za upinzani, safari yake imegubikwa na misukosuko, misimamo mikali na mapambano yasiyoisha. Katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika Februari 10, 2026,…

Read More

Utafiti waonya utegemezi wa Dar kwa mapato ya kodi

Dar es Salaam. Wakati takwimu zikionesha asilimia 70 ya mapato ya kodi nchini kukusanywa katika Jiji la Dar es Salaam, utafiti mpya umeonya kuwa utegemezi mkubwa wa mkoa mmoja si endelevu na unaweza kuathiri azma ya Tanzania kufikia uchumi wa dola trilioni moja ifikapo mwaka 2050. Utafiti huo unapendekeza kufanyika kwa mageuzi ya kina yatakayohamasisha…

Read More