Fountain Gate kuhamia Arachuga | Mwanaspoti

UONGOZI wa Fountain Gate huenda ukahamishia mechi zake zote za nyumbani zilizobaki za Ligi Kuu Bara kwa msimu huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, baada ya kuutumia tangu mwanzo Tanzanite kwaraa uliopo mjini Babati, Manyara. Akizungumza na Mwanaspoti, Mratibu wa Fountain Gate, Wendo Makau alisema ni kweli timu hiyo imepata mwaliko na…

Read More

Ishu ya Bigman FC kuuzwa iko hivi!

RAIS wa Bigman FC, Ahmed Waziri Gao amesema hana mpango wa kuiuza timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu kwa sasa, licha ya kudaiwa pia huenda ikapigwa bei kutokana na gharama kubwa za uendeshaji. Akizungumza na Mwanaspoti, Gao alisema licha ya gharama kubwa za uendeshaji zinazoendelea kwa sasa, ila hana mpango kabisa wa kuiuza,…

Read More

Nafasi ya Kuondoka na Mkwanja Ipo Meridianbet Leo

LEO ndio leo asemaye kesho muongo, hii ni kauli ya waswahili ambayo ina maana kuwa jambo ambalo linawezekana leo lifanyike leo na Meridianbet inakwambia kuwa suka jamvi lako la ushindi mechi za EUROPA ujiweke kwenye nafasi ya Mamilionea. Piga pesa mechi ya Bologna vs Celtic ambapo toauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4…

Read More

Waliopora Iphone, Sh 635,000 watupwa jela miaka 30

Morogoro. Mahakama ya Wilaya ya Morogoro imewahukumu vijana sita (vishandu) wakazi wa Chamwino kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha, tukio lililotokea Machi 31 mwaka 2025. Akitoa taarifa kwa umma leo Januari 22,2026 mjini hapa, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema…

Read More

Mfumo usajili wa diaspora fursa za uwekezaji Zanzibar

Unguja. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezindua mfumo wa kidijitali wa usajili wa diaspora wenye asili ya Zanzibar, hatua iliyolenga kukabiliana na changamoto zilizokuwepo katika mfumo wa awali wa usajili wa kutumia makaratasi. Inaelezwa kwamba hilo linakwenda sambamba na kuongeza ufanisi wa kuwatambua na kuwaunganisha na fursa za maendeleo zilizopo visiwani humo. Kupitia mfumo huo, Serikali…

Read More