Ushirikiano wa Stanbic, CRDB unavyopaisha Sukuk
Dar es Salaam. Kadiri Tanzania inavyopanua masoko yake ya mitaji, bidhaa za kifedha zilizokuwa zikihusishwa na taasisi kubwa pekee zinaanza kuwafikia wananchi wengi.Utoaji wa hivi karibuni wa Sukuk ya Al Barakah ya Benki ya CRDB ni miongoni mwa ishara zinazoonesha mwelekeo huo, hasa kwa wananchi. Katika mchakato huo, Benki ya Stanbic ilishiriki kama mshirika mwenza…