Chadema ya miaka 33 ilivyozalisha viongozi nchini
Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiadhimisha miaka 33 tangu kuanzishwa kwake jana Januari 21, kimejipambanua kama chuo cha kupika viongozi ambao wanatumika kufanya kazi serikalini. Usajili huo ulipatikana ikiwa ni miezi michache baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa 1992, wakati wa Serikali ya awamu ya pili…