Nidhamu ya fedha kwa vitendo mwaka 2026
Tunapoanza mwaka 2026, Watanzania wengi tayari wameweka maazimio ya kifedha kama vile kuongeza akiba, kupunguza madeni, kuanzisha biashara au kuwekeza. Hata hivyo, uzoefu unaonyesha ukweli mmoja mchungu kwamba, maazimio mengi hayadumu zaidi ya miezi michache ya mwanzo wa mwaka. Tatizo si kukosa nia, bali kukosa nidhamu ya fedha na mpangilio. Lakini kama unataka mwaka huu…