Simba kushusha kiungo kutoka Cameroon
MWANASPOTI limepata taarifa za ndani kutoka Simba kwamba klabu hiyo imemalizana na kiungo mshambuliaji, Iñno Jospin Loemba kutoka Colombe Sportive du Dja et Lobo inayoshiriki Ligi Kuu ya Cameroon. Loemba raia wa Congo Brazzaville aliyezaliwa Agosti 4, 2004, rekodi zake zinaonyesha katika michuano ya CAF kacheza mechi nne, kafunga bao moja. Chanzo cha ndani kutoka…