Wizi wa miundombinu watajwa kutatiza huduma za maji Tabora

Tabora. Wizi wa miundombinu ya maji pamoja na baadhi ya wateja kujiunganishia maji kinyume na utaratibu umeisababishia hasara Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tuwasa), jambo linalosababisha kuchelewa kwa huduma kwa baadhi ya nyakati. Hayo yamebainishwa leo Januari 21, 2026 mjini Tabora wakati wa mkutano kati ya Tuwasa Mkoa wa Tabora na watendaji…

Read More

Simba yafyeka mastaa saba, yumo kocha mmoja

HUKO Simba bado panawaka moto katika usajili wa dirisha dogo linalotarajiwa kufungwa Januari 30, 2026, kwani kuna uwezekano wa kuachana na idadi kubwa ya mastaa waliopo sasa na kushusha sura mpya za kuongeza nguvu kikosi hicho kinachopambana kusaka mataji baada ya kuyakosa kwa misimu minne mfululizo. …

Read More

Kuvunjika kwa magereza na mapigano mapya yanaibua wasiwasi kaskazini mashariki mwa Syria – Masuala ya Ulimwenguni

Katibu Mkuu António Guterres anafuata ghasia zinazoendelea “kwa wasiwasi mkubwa,” Naibu Msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq. alisema Jumanne huko New York. Katibu Mkuu ametoa wito wa kuheshimiwa kikamilifu sheria za kimataifa na ulinzi wa raia huku pia akisisitiza umuhimu wa kupata vituo vya kizuizini. Alizitaka pande husika kuendelea na mazungumzo, kusonga mbele kwa…

Read More

Kyela kuandaa mpango mkakati kwa kuzingatia Dira ya Taifa 2050

Mbeya. Wataalamu wanaoandaa mpango mkakati katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wametakiwa kuandaa unaokubalika na wananchi kwa kuzingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Pia wamesisitizwa umuhimu wa ushirikishwaji wa wadau mbalimbali, wakiwamo viongozi wa siasa, sekta binafsi, asasi za kiraia, wananchi kwani mpango huo ukikubalika utatoa matokeo chanya kwa jamii husika. Akifungua…

Read More