Straika Prisons atua Coastal | Mwanaspoti

ALIYEKUWA mshambuliaji wa maafande wa Tanzania Prisons, Abdulkarim Segeja, amekamilisha usajili wa kujiunga na Coastal Union kwa mkataba wa miezi sita utakaomweka ndani ya kikosi hicho cha Wagosi wa Kaya hadi mwisho wa msimu huu. Nyota huyo aliyejiunga na Prisons katika dirisha dogo la Januari 2023 akitokea Copco ya jijini Mwanza, alisaini mkataba wa miaka…

Read More

Mido Singida anukia Azam | Mwanaspoti

MABOSI wa Azam wanaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo mshambuliaji wa Singida Black Stars raia wa Ivory Coast, Idriss Diomande, baada ya nyota huyo aliyehusishwa pia kuhitajika na Simba katika dirisha hili dogo dili lake kugonga mwamba. Nyota huyo alikuwa akihusishwa kujiunga na Simba kwa ajili ya kuchukua nafasi ya kiungo mshambuliaji, Jean Charles Ahoua aliyejiunga…

Read More

Dilunga aungana na Mzamiru TRA

KIUNGO wa zamani wa Simba na JKT Tanzania, Hassan Dilunga amekamilisha dili la kujiunga na TRA United akiungana na Mzamiru Yassin waliyecheza pamoja wakiwa Simba. Dilunga ambaye ameitumikia JKT Tanzania kwa misimu miwili, mkataba na klabu hiyo umetamatika hivyo ametua TRA United akiwa mchezaji huru. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya TRA United kimethibitisha usajili…

Read More

Kipa Alliance ajivunia ubora, akiiwaza Simba

KIPA wa zamani wa Yanga Princess, Husna Mtunda ameanza vyema ndani ya kikosi cha Alliance Girls ya Mwanza akitoa mchango mkubwa kwa kuzuia nyavu za lango lake kuguswa na wapinzani. Mtunda alijiunga na timu hiyo msimu huu akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Yanga Princess, akichukua nafasi ya Nusra Jafari aliyetimkia Fountain Gate…

Read More

Chadema kujenga chuo cha kumbukumbu ya Mtei

Musoma. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kujenga chuo kwa ajili ya kumbukumbu ya muasisi wa chama hicho, Edwin Mtei, aliyefariki dunia Januari 19, 2026 ikiwa ni sehemu ya kumuenzi na kuthamini yale aliyoyafanya kwa ajili ya chama hicho na Taifa kwa ujumla. Mbali na ujenzi huo, kimejipanga kuhamasisha wanachama na wapenzi wa chama…

Read More