Mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa alaani migomo ya Urusi kwenye gridi ya umeme ya Ukraine – Global Issues

Volker Türk alisema alikasirishwa na mashambulizi mapya ya usiku kucha ambayo yaliondoa nguvu na joto katika miji mikubwa – ikiwa ni pamoja na Kyiv na Odesa – wakati joto lilipungua chini ya sifuri na raia kubeba mzigo mkubwa wa kile alichokitaja kama mashambulio kinyume cha sheria kwenye miundombinu ya kiraia. Alisema mgomo wa Urusi “unaweza…

Read More

TRA YAZINDUA MAFUNZO YA IDRAS, TAASISI 60 KUANZA KUTOA HUDUMA

:::::::: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema hadi kufikia Februari 9, mwaka huu,wakati wa uzinduzi rasmi wa Mfumo Jumuishi wa Ukusanyaji wa Mapato ya Ndani (IDRAS) taasisi 60 zitakuwazimeunganishwa na mfumo huo ili ziweze kutoa huduma kwa wafanyabiashara. Hayo yamebainishwa Januari,21,2026 na Kamishna wa Kodi za Ndani, Alfred Mlegi kwenye ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo…

Read More

Familia ya mtalii aliyefariki ajalini yalia na Mahakama

Dar es Salaam. Familia ya raia wa Israel, Inbar Greidinger-Geisler, aliyepoteza maisha kwa ajali akifanya utalii katika Hifadhi ya Ngorongoro, imeiandikia barua Mahakama ya Wilaya ya Ngorongoro ikiilalamikia kutomchukulia hatua mshtakiwa wa kesi ya ajali hiyo. Wameeleza kuwa mshitakiwa anachelewesha kesi hiyo kutokana na kutofika mahakamani mara kadhaa na kuiomba ichukue hatua stahiki dhidi yake….

Read More

NBC Yaahidi Kuimarisha Ushirikiano Na Wadau, Yasisitiza Mwelekeo Wake Utoaji Huduma Jumuishi Za Kifedha

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana kwa ukaribu na wadau mbalimbali wakiwemo Serikali, wafanyabiashara, wawekezaji, wajasiriamali, wafanyakazi, wakulima pamoja na makundi mengine ya kijamii, kwa lengo la kuchochea kasi ya ukuaji wa uchumi wa taifa kupitia utoaji wa huduma jumuishi na bunifu za kifedha zinazoendana na mahitaji halisi ya…

Read More

Ujumbe maalumu wa Lissu kusomwa kumbukizi ya Mzee Mtei

Arusha. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Tundu Lissu, aliyeko Gereza la Ukonga kutokana na kesi inayomkabili ya uhaini, anatarajiwa kutuma ujumbe maalumu unaomhusu mwasisi wa chama hicho, Edwin Mtei. Ujumbe huo unatarajiwa kwenda kuchukuliwa leo ambao utasomwa katika kumbukizi ya Mzee Mtei itakayofanyika Januari 23, 2026 kabla ya maziko yake yanayotarajiwa…

Read More