Aviator ya Meridianbet Yapanua Ushindi kwa Zawadi ya Samsung A26
Aviator ya Meridianbet Yapanua Ushindi kwa Zawadi ya Samsung A26 – Global Publishers Home Habari Aviator ya Meridianbet Yapanua Ushindi kwa Zawadi ya Samsung A26
Aviator ya Meridianbet Yapanua Ushindi kwa Zawadi ya Samsung A26 – Global Publishers Home Habari Aviator ya Meridianbet Yapanua Ushindi kwa Zawadi ya Samsung A26
Macho Yote Ulaya Leo: Juventus, Liverpool na Barca Kupambana – Global Publishers Home Habari Macho Yote Ulaya Leo: Juventus, Liverpool na Barca Kupambana
Ubelgiji. Familia ya shujaa wa uhuru wa Kongo hayati Patrice Lumumba, imesema imeanzisha upya ufuatiliaji kuhusu ukweli wa kifo cha mwanamapinduzi huyo ambaye alikuwa kipenzi cha Wakongo ili haki ipatikane. Mahakama ya Ubelgiji imeelezea hatua hiyo ikisema inatafakari uwezekano wa kumshtaki mshukiwa pekee aliyebakia kuhusiana na mauaji ya Lumumba yaliyotokea Januari 17, 1961. Mjuu wa…
Mabalozi wa Mashina ni Nguzo ya Kukipambania Chama – Dkt. Migiro – Global Publishers Home Habari Mabalozi wa Mashina ni Nguzo ya Kukipambania Chama – Dkt. Migiro
MERIDIANBET inaendelea kuonesha tofauti yake kwenye ulimwengu wa michezo ya kubashiri kwa kuunganisha burudani, ushindani na zawadi zenye thamani halisi. Kupitia kampeni mpya ya mchezo wa Aviator, wachezaji hawashindanii pesa pekee, bali pia nafasi ya kujinyakulia Samsung Galaxy A26 mpya kabisa, simu ya kisasa inayokidhi mahitaji ya kila siku. Aviator ni zaidi ya mchezo wa…
LIGI ya mabingwa Barani Ulaya itaendelea pia hapo kesho ambapo timu za pesa zote zitakuwepo uwanjani kusaka nafasi ya kusonga mbele. Chelsea, Bayern, Liver na wengine kibao wapo kwaajili ya kukupatia pesa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa. Tukianza na Galatasaray wao watamualika kwake Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao mpaka sasa wapo nafasi…
BENKI ya CRDB imezindua rasmi Ofisi yake ya Uwakilishi ya Dubai katika hafla iliyofanyika jana Dubai katika hoteli mashuhuri ya Intercontinetal, ikiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Balozi Kombo…
Mwandishi kiongozi Prof. Kaveh Madani Maoni na Taasisi ya Maji, Mazingira na Afya ya Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa (umoja wa mataifa) Jumatano, Januari 21, 2026 Inter Press Service Ripoti ya bendera inataka kuweka upya ajenda ya kimataifa ya maji kwani uharibifu usioweza kutenduliwa unasukuma mabonde mengi zaidi ya kupona. UMOJA WA MATAIFA, Januari…
Wiki iliyopita, Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju alitaja mambo manane akitaka yawezeshwe ili kuifanya Mahakama kuwa huru isiyoingiliwa kwenye utoaji haki, na mimi namuongezea kuwa tunahitaji pia Bunge huru litakaoisimamia Serikali. Bila vyombo hivyo kuwa huru, visivyofanya uamuzi kwa shinikizo, maelekezo au maslahi ya kisiasa, kilio cha utawala wa sheria ambacho kinasikika hivi sasa…
Dar es Salaam. Mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuweka vikwazo vya kodi kwa Mataifa ya Ulaya umechukua sura mpya baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kuchukua hatua za kulipiza kisasi. Hatua za Trump zilizotangazwa Januari 2026, zinahusu ushuru wa ziada kwa bidhaa za viwandani kutoka Ulaya. Akizungumza nchini Marekani, Rais Donald Trump alisema…