Mayele akoshwa na usajili wa Chama Simba
STRAIKA wa Pyramids ya Misri na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele, ameonyesha wazi furaha yake baada ya Clatous Chama, kurejea katika klabu ya Simba. Kupitia sehemu ya maoni mitandaoni baada ya Simba kutangaza kumrejesha Chama, Mayele aliandika ujumbe uliovuta hisia za mashabiki wengi huku wengine wakitaka naye atue Msimbazi. “The Best Number…