Mambo mawili yamrudisha Chama Simba
DEAL Done! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo fundi raia wa Zambia, Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’ taarifa kuthibitisha amerudi Simba baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea Singida Black Stars, huku mambo mawili yakimbeba. Kukamilika kwa usajili huo ambao umethibitishwa…