TISEZA Yachanja Mbuga Mikoani Kuhamasisha Uwekezaji wa Ndani
Balozi Dkt. Aziz Mlima – mwenyekiti ya bodi ya TISEZA MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imeendelea na kampeni yake ya kitaifa ya kuhamasisha uwekezaji wa ndani kwa kufanya Kongamano la Uwekezaji mkoani Geita, likiwa na lengo la kuwahamasisha wananchi kushiriki moja kwa moja katika shughuli za uwekezaji na kuondoa dhana…