Vijijii 72 kunufaika na mradi wa matumizi ya ardhi

Njombe. Jumla ya vijiji 72 vilivyopo katika mikoa ya Njombe na Iringa vinatarajiwa kunufaika na mradi wa maendeleleo ya matumizi ya ardhi na mnyororo wa thamani ya misitu hapa Tanzania. Taarifa hiyo imetolewa katika tukio la utiaji wa saini wa hati ya makubaliano ya kikanda (MoU) kati ya makatibu tawala wa mikoa ya Njombe na…

Read More

Ongezeko ‘la kutisha’ la matumizi ya hukumu ya kifo mwaka jana, licha ya mwelekeo wa kimataifa kuelekea kukomesha – Masuala ya Ulimwenguni

Umoja wa Mataifa unatetea kukomeshwa kwa adhabu ya kifo kwa wote. The Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasaimeidhinishwa na nchi 175inalinda haki ya kuishi na kubainisha kwamba, kwa nchi ambazo hazijafuta adhabu ya kifo, itolewe kwa ‘makosa makubwa zaidi’ katika kesi za kipekee. OHCHR alisema ongezeko kubwa katika adhabu ya kifo mwaka…

Read More

KAPINGA AWASHUKURU WANANCHI KATA YA MKAKO NA KIHANGIMAHUKI, AHAHIDI USHIRIKIANO WA KARIBU KUTATUA CHANGAMOTO ZAO.

Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Salvio Kapinga, ametembelea Kata za Mkako na Kihangimahuka katika mwendelezo wa ziara yake ya kuwashukuru wananchi kwa ushindi mkubwa waliompatia yeye na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha…

Read More

Msikie Pedro na mastaa wapya Yanga

WAKATI kikosi cha Yanga kikiondoka leo Jumatano jijini Dar es Salaam kuifuata Al Ahly, Misri kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Pedro Goncalves amesema hana presha yoyote kuhusu pambano hilo na kilichompa faraja kubwa ni ubora ulioongezwa na wachezaji wapya waliosajiliwa dirisha dogo msimu huu. …

Read More