Chawata mtaa kwa mtaa kuwasaka wenye ulemavu, ikilia ukata

Mbeya. Wakati idadi ya watu wenye ulemavu wa viungo wakifikia 1,370 mkoani Mbeya, Chama cha wenye ulemavu huo mkoani humo (Chawata), kimesema kinatarajia kufanya ziara ya mtaa kwa mtaa kuwabaini wenye ulemavu wakiwamo watoto, kuhakikisha wanapata haki zao za msingi. Hata hivyo, kimeeleza kuwa changamoto kubwa inayowakabili ni nguvu ya kifedha kuwawezesha kutekeleza majukumu yao…

Read More

Rai wa China kortin akidaiwa kutakatisha Sh86 milioni

Dar es Salaam. Raia wa China, Zhang Min (31) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kutakatisha fedha kiasi cha Sh86 milioni. Min amefikishwa amesomewa mashtaka yake, leo Jumanne Januari 20, 2026 na wakili wa Serikali Roida Mwakamele, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Gwantwa Mwankuga. Kabla ya kusomewa mashtaka…

Read More

Mkutano wa Kihongosi wapokea kero 61, aagiza wahusika walindwe

Singida. Jumla ya kero 61 zimewasilishwa kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi nyingi zikihusu migogoro ya ardhi na maji. Miongoni mwa waliowasilisha kero hizo, yumo Francisca Juma (93) ambaye amedai kufukuzwa katika nyumba aliyojenga na marehemu mumewe mwaka 1968 lakini anaambiwa ni mvamizi.Kero hizo ziliibuliwa jana jioni…

Read More

Kibabage awashtua mastaa Simba | Mwanaspoti

SIMBA imeshamtambulisha beki wa kushoto mpya, Nickson Kibabage akitokea Singida Black Stars, lakini usajili huo umewaibua mastaa wa zamani wa klabu hiyo kuukosoa na kuuona haujaongeza kitu chochote badala yake wanaona ni kufifisha ushindani. Kibabage aliyewahi kuzitumikia KMC na Yanga, alitangazwa rasmi na Singida BS ametolewa bila malipo kwenda Msimbazi, ikielezwa ameenda kuongeza nguvu eneo…

Read More

JKT yawaita vijana kwenye mafunzo

Dodoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kuanza kwa mafunzo ya kijeshi ya kujitolea kwa mwaka 2026 kwa vijana wa Tanzania Bara na Visiwani wenye umri wa miaka 16 hadi 18. Mkuu wa tawi la Utawala JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena amezungumza hayo leo Jumanne Januari 20, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye…

Read More