Mwinyi awahakikishia wawekezaji vivutio vya kodi, kuondoa urasimu
Unguja. Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amewahakikishia wawekezaji wa ndani na nje kwamba serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya uwekezaji, kutoa vivutio vya kodi na kuondoa urasimu. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Januari 20, 2026 wakati akizindua boti mpya ya kampuni ya Azam (Kilimanjaro IX), amesema mabadiliko makubwa ya sera, sheria na…