Rais Samia Kuwaapisha Viongozi Wapya Leo Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwaapisha viongozi mbalimbali walioteuliwa kushika nafasi tofauti serikalini katika hafla rasmi itakayofanyika Ikulu. Viongozi hao wanajumuisha waliopata uteuzi katika nafasi za Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi za Umma, Wakurugenzi pamoja na watendaji wa ngazi mbalimbali za Serikali, hatua inayolenga kuimarisha…

Read More

Kesi ya Lissu kuunguruma kwa siku 20 mfululizo, kuanza leo

Dar es Salaam. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo inatarajiwa kuendelea kuunguruma, ambapo upande wa mashtaka utajibu hoja za kisheria za pingamizi la Lissu kuhusiana na uhalali wa mashahidi fiche wa Jamhuri. Kesi hiyo imepangwa kuendelea leo Jumatatu, Februari 9, 2026 kwa siku 20 mfululizo za…

Read More

Ulega: Uchunguzi mkataba mkandarasi wa barabara Kagera umeanza

Arusha. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema mchakato wa kuvunja mkataba na mkandarasi wa kampuni kutoka China anayejenga barabara ya Omurushaka- Kyerwa mkoani Kagera yenye urefu wa kilomita 50 umeanza. Kauli hiyo imekuja zikiwa zimepita siku tisa baada ya Waziri Ulega kufanya ziara mkoani humo Januari 31,2026 na kuagiza kuvunjwa mkataba wa kampuni hiyo baada…

Read More

Faida, Hasara Za Wapendanao Kuambizana Ukweli!

UKIZUNGUMZA na wanaume wengi kwa sasa, watakuambia wanawake siyo wa kuwaeleza kila kitu katika uhalisia wake. Wanatakiwa kudanganywa kidogo ili mambo yaende. Wanaitumia hiyo kama silaha wakidai kwamba wanawake ni watu ambao wakijua kila kitu wanasumbua. Wanaamini kwamba hata kama ni fedha, mwanaume akimuambia mpenzi wake ana jumla ya kiasi fulani cha fedha basi matumizi yatakayoibuliwa…

Read More