GHANA, TANZANIA STRENGTHEN LOCAL CONTENT COLLABORATION IN MINING

Tanzania is set to deepen domestic participation, industrial growth and value retention in its mining sector following the strengthening of institutional collaboration with Ghana on Local Content implementation. The two countries are enhancing cooperation on policies and best practices aimed at increasing the participation of local citizens and firms across the mining value chain, strengthening…

Read More

Kilichoikwamisha Savio 2025 hiki hapa

WAKATI timu zikiwa bado zinajitathmini na kujipanga upya namna zikavyoshiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2026, nyota wa Savio, Oscar Anthony ametaja sababu mbili zilizowakwamisha msimu uliopita. Anthony anayecheza nafasi ya namba 2 (Shooting Guard) aliliambia Mwanaspoti kutokuwa na maandalizi mazuri kulichangia kupoteza michezo yao ya mwanzo. “Kwa kweli sababu hiyo…

Read More

Mwanamitandao na Shabiki Maarufu wa Man City Brydon Bent Kuja Tanzania

*#UnforgetableTanzania na *#DestinationTanzania MWANAMITANDAO na shabiki maarufu wa klabu ya Manchester City, Brydon Bent, anatarajiwa kuwasili Tanzania katika kampeni za utalii #UnforgetableTanzania na #DestinationTanzania, hatua inayotarajiwa kuendeleza kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia majukwaa ya kidijitali. Brydon alijipatia umaarufu mkubwa hapa nchini miaka kadhaa iliyopita kutokana na video zake akiongea Kiswahili fasaha na kuonesha mapenzi makubwa kwa…

Read More

SERIKALI YAWEKEZA KIMKAKATI SEKTA YA UZALISHAJI WA DAWA, YAANZISHA VITUO MAALUMU MLOGANZILA NA KIBAHA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza uwekezaji mkubwa wa kimkakati katika sekta ya uzalishaji wa dawa, ikiwemo kuanzishwa kwa vituo maalumu vya uzalishaji na utekelezaji wa sera zitakazohakikisha uwepo wa soko la uhakika kwa wazalishaji wa ndani watakaokidhi viwango vya kimataifa. Akizungumza katika Jukwaa la Uwekezaji wa Uzalishaji wa Dawa Tanzania lililofanyika Dar…

Read More

WAFANYABIASHARA TUFANYE MAKADIRIO NA MALIPO YA KODI KWA WAKATI

 :::::::: Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Mhe. Nyakia Ally Chirukile, amewataka wafanyabiashara kufanya makadirio na malipo ya kodi kwa wakati ili kuchangia maendeleo ya taifa.  Akizungumza leo tarehe 20.01.2026 katika ofisi yake alipokutana na timu ya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa lengo la kujitambulisha na kutangaza zoezi la utoaji elimu ya kodi…

Read More

Serikali yaita wafanyabiashara kutatua changamoto za biashara

Arusha. Serikali imewataka wafanyabiashara nchini kuimarisha ushirikiano na taasisi za umma kwa kutumia majukwaa ya mazungumzo kama njia kuu ya kutatua changamoto zinazowakabili ili kuepuka migogoro ya mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo, Januari 19, 2025 jijini Arusha kwenye kikao kati ya Serikali na uongozi wa…

Read More