Makonda aihakikishia FIFA ushirikiano katika michezo
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino katika ofisi za FIFA zilizopo Jijini Rabat, nchini Morocco. Katika mazungumzo hayo Makonda amemshukuru Infantino kwa ushirikiano mkubwa anaoutoa kwa Tanzania katika maendeleo ya mchezo wa mpira wa miguu na…