Pamba Jiji yang’oa kitasa Mbeya City
UONGOZI wa Pamba Jiji umemalizana na aliyekuwa beki wa kati wa Mbeya City, Gabriel Mwaipola ambaye anaenda kuziba pengo la Abdallah Kheri ‘Sebo’ aliyetimkia Singida Black Stars. Pamba Jiji imekamilisha usajili wa beki huyo akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na timu hiyo ya jijini Mbeya iliyorejea Ligi Kuu Bara msimu huu, ikizipiku Dodoma…