Mwasisi wa Chadema afariki dunia

Arusha. Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei, na aliyekuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), amefariki dunia. Mzee Mtei (94) ambaye alikuwa Gavana wa BoT kuanzia 1966 na miaka 12 baadaye akaja kuwa Waziri wa Fedha na Mipango amefariki usiku wa kuamkia leo Januari 20, 2026. Ameitumikia nafasi…

Read More

Mzee Mtei afariki dunia akiwa na miaka 94

Arusha. Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei, na aliyekuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), amefariki dunia. Mzee Mtei (94) ambaye alikuwa Gavana wa BoT kuanzia 1966 na miaka 12 baadaye akaja kuwa Waziri wa Fedha na Mipango amefariki usiku wa kuamkia leo Januari 20, 2026. Ameitumikia nafasi…

Read More

BALOZI OMAR AISHAURI EADB KUCHOCHEA ZAIDI UKUAJI WA MAENDELEO KANDA YA AFRIKA MASHARIKI

Na. Farida Ramadhani na Silya Kombe, WF, DodomaWaziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar ameishauri Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) kuongeza ubunifu katika kushirikiana na Serikali pamoja na Sekta binafsi ili kuchangia katika maendeleo ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ametoa ushauri huo jijini Dodoma alipokutana na kuzungumza na uongozi wa…

Read More

DIWANI MAPUNG’O AWABANA WASIMAMIZI WA MIRADI JIMBO LA MUSUKUMA

Diwani wa kata ya Butobela Halmashauri ya Wilaya ya Geita Mhe Pascal Mapung’o amewataka wasimamizi wa miradi ya maendeleo jimboni Geita kuzingatia maelekezo ya utekelezaji wa miradi yanayotolewa na Halmashauri. Mhe Mapung’o ameyasema hayo katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo iliyofanyika Januari 19,2026 katika jimbo la Geita ambalo Mbunge wake ni Mhe Joseph Musukuma….

Read More

Utata uliopo ACT-Wazalendo kuingia SUK

Dar es Salaam. Bado msimamo wa chama cha ACT-Wazalendo kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) umeendelea kuwa mwembamba, baada ya chama hicho kusema si kipaumbele chake kwa sasa. Kimesema kinatathmini kuona iwapo malengo ya kuundwa kwa SUK yanatimizwa kwa mfumo uliopo na kama hayatimizwi, hakitaona haja ya kuingia ndani ya Serikali hiyo, bali…

Read More

Wazee walivyoongeza nguvu kuliponya Taifa

Dar es Salaam. Baada ya hatua zilizochukuliwa na makundi mbalimbali za kuliponya Taifa kutokana na maandamano na vurugu za Oktoba 29 mwaka jana, hatimaye wazee nao wamejitosa kuusaka mwafaka huo wa kitaifa. Wazee wanakuja na uamuzi huo, wakati ambao tayari Rais Samia Suluhu Hassan ameshaunda tume kuchunguza matukio hayo, ikipewa miezi mitatu kuifanya kazi hiyo,…

Read More

Jinsi Hali ya Hewa Ilivyokithiri Inajaribu Ndoto ya Reli ya Umeme ya Tanzania yenye thamani ya $2 Bilioni — Masuala ya Ulimwenguni

Abiria wakigombana kuingia katika treni ya umeme katika mji mkuu wa Tanzania Dodoma mnamo Desemba 31 muda mfupi kabla ya safari hiyo kusitishwa kwa muda usiojulikana kutokana na mafuriko na changamoto kali za hali ya hewa. Credit: Kizito Makoye/IPS by Kizito Makoye (dar es salaam, tanzania) Jumatatu, Januari 19, 2026 Inter Press Service DAR ES…

Read More