Steve Barker atoa maagizo mazito Simba
BAADA ya kukaa na kikosi kwa takribani siku kumi na kucheza mechi tatu za Kombe la Mapinduzi 2026, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker ametoa maagizo mazito kwa uongozi katika ishu nzima ya kuboresha kikosi kinachojiandaa kwa mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi y Mabingwa Afrika. Barker alitambulishwa na Simba Desemba 19, 2025 akichukua…