NAIBU WAZIRI MAJI ACHARUKA MKANDARASI KUTELEKEZA MRADI CHATO

………… CHATO NAIBU Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ameagiza kukatwa fedha za mkandarasi wa kampuni ya “Peritus Exim Infrastructure Co. LTD” iliyokuwa ikitekeleza ujenzi wa mradi wa maji taka wilayani Chato mkoani Geita kutokana na kukiuka mkataba. Kwa mujibu wa mkataba huo mkandarasi alipaswa kuanza ujenzi juni 23, 2023 na kukamilisha Desemba 20, 2024….

Read More

Rais Mwinyi atoa nishani 18 miaka 62 ya mapinduzi

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametunuku nishani ya mapinduzi kwa watu maalumu na utumishi uliotukuka 18 katika kuadhimisha miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, mipngoni mwao  akiwemo Fatma Karume mke wa muasisi wa mapinduzi, Abeid Amani Karume. Kati ya nishani hizo, wanane wamepewa za mapinduzi na nishani 10 za utumishi uliotukuka kwa viongozi…

Read More

WAFANYABIASHARA 500 WAPATIWA MAFUNZO YA UNUNUZI WA UMMA DAR

Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Dennis Simbaali  Akizungumza wakati wa mafunzo maalum ya ununuzi wa umma yaliyoendeshwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA). ::::::::::: Wafanyabiashara wapatao 500 jijini Dar es Salaam wameshiriki mafunzo maalum ya ununuzi wa umma yaliyoendeshwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Mafunzo hayo ni sehemu ya…

Read More

Wanne wafariki dunia ajalini Tanga, 16 wajeruhiwa

Korogwe. Ajali nyingine ya gari imetokea katika Mkoa wa Tanga na kusababisha vifo vya watu wanne huku wengine 16 wakijeruhiwa. Ajali hiyo ni ya tatu iliyosababisha vifo ndani ya siku chache za mwanzo wa mwaka 2026 na mwishoni mwa 2025. Ajali ya kwanza ilitokea Morogoro, Desemba 31, ikiua watu 10 na kuwajeruhi 18. Taarifa kwa…

Read More