UKAMILISHWAJI KIWANJA CHA NDEGE MSALATO UNAHITAJI UMAKINI NA KUJALI THAMANI YA FEDHA- PROF.MBARAWA
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma. Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amewataka wadau wote wanaosimamia ujenzi wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Msalato kushirikiana ili ujenzi huo ukamilike ifikapo Mwezi Mei mwaka huu. Akizungumza jijini Dodoma, Januari 14, 2026 wakati akikagua maendeleo ya ujenzi huo, Prof. Mbarawa amesema hatua ya ukamilishaji wa ujenzi (finishing),…