Rais Samia awaonya Makonda, Mwana FA

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amemtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda na Naibu wake, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA kuacha malumbano na badala yake washirikiane kikamilifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kazi. Rais Samia amesema hatasita kuwaweka kando viongozi watakaoshindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na migogoro ya ndani,…

Read More

TEA YASHIRIKI SIKU MAALUM YA WATAALAMU WA UHASIBU

Wadau mbalimbali wakipata Elimu katika banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) wakati wa maonesho kwenye siku maalum ya Wataalamu wa Uhasibu (NBAA Career Day) ***************** Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) leo imeshiriki katika maonyesho maalum yaliyoandaliwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi (NBAA) kwa ajili ya kuadhimisha Siku ya Wataalamu wa Uhasibu….

Read More

YANGA SC MABINGWA MAPINDUZI CUP 2026

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kubeba Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Azam FC kwa mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali uliopigwa kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba. Mchezo huo uliisha bila kufungana katika dakika 90 za kawaida na hata baada ya kuongezwa dakika 30 za muda wa nyongeza, ambapo…

Read More