HUU NDIO UTOFAUTI WA CCM NA VYAMA VINGINE – KIHONGOSI
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Kenani Labani Kihongosi,ametembelea Shina Namba 7 la CCM katika Tawi la Manyoni Mjini, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kimkakati ya kuimarisha uhai wa Chama kuanzia ngazi ya mashina mkoani Singida. Akiwa katika shina hilo lenye wanachama 150, Ndugu Kihongosi aliwashukuru…