Benki yakwaa kisiki Mahakama ya Rufani
Arusha. Mahakama ya Rufaa nchini imebariki uamuzi wa Bodi ya Rufaa za Kodi (TRAB) na Baraza Kuu la Rufaa za Kodi (TRAT), ya kukataa maombi ya Bank of Africa Tanzania Limited, zilizoruhusu kutozwa kodi zaidi ya Sh240.5 milioni. Katika uamuzi wake, TRAB, iliweka kodi ya mshahara (Pay As You Earn – PAYE) kwenye mafao yanayotozwa…