NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS -UTUMISHI ATOA RAI KWA WANANCHI ARUMERU KUILINDA MIRADI YA TASAF
Na Mwandishi Wetu,Arusha. NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-Utumishi, Regina Qwaray,amewataka wananchi wa Wilaya ya Arumeru walionufaika na miradi iliyojengwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jami (TASAF), kuilinda kwa wivu mkubwa miradi hiyo ili idumu kwa muda mrefu na kuwapa huduma nnafuu. Ametoa raia hiyo jana alipotembelea miradi ya mfereji wa umwagiliaji maji katika Kata ya…