Waarabu waanza figisu, waipeleka Yanga ‘mafichoni’
KIKOSI cha Yanga keshokutwa kinashuka uwanjani kucheza Ligi Kuu Bara dhidi ya Mashujaa kabla ya kuondoka Jumatano ijayo kwenda Misri kuvaana na Al Ahly katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kuna taarifa ya kushtua kwa mabingwa hao wa Tanzania. …