Kesi wizi wa Sh62 mililioni inayomkabili Laila, kuendelea wiki ijayo
Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Temeke imepanga Januari 23, 2026 kuendelea na usikilizwaji wa kesi ya wizi wa Sh62.8 milioni, inayomkabili Laila Khatibu (42). Khatibu ambaye alikuwa mfanyakazi wa kampuni ya African Energy Ltd, anakabiliwa na kesi ya jinai namba 4085 ya mwaka 2025 yenye shtaka moja la wizi. Kesi hiyo ilipangwa leo…