Mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa anasema mbaya zaidi ni kuja bila hatua za kimataifa – Global Issues

“Tunaweza tu kutarajia mbaya zaidi kuja” isipokuwa hatua hazitachukuliwa kukomesha umwagaji damu, Bw. Türk aliambia Mataifa Wanachama katika mkutano huo Baraza la Haki za Binadamu huko Geneva, alipokuwa akirejelea wito wake wa kurefushwa kwa vikwazo vya silaha kutoka Darfur ili kujumuisha Sudan yote. Wanajeshi hasimu kutoka jeshi la taifa na wanamgambo wa Rapid Support Forces…

Read More

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Kujenga Taasisi ya Saratani

Na Mwandishi Wetu ,Zanzibar KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Mngereza Mzee Miraji, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepanga kuanza ujenzi wa Taasisi ya Saratani Zanzibar mwaka huu, ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miaka miwili. Taasisi hiyo inalenga kutoa huduma za matibabu ya saratani ndani ya Zanzibar, hatua itakayopunguza…

Read More

Majeraha yamtibulia Salim Dodoma Jiji

KIPA wa Dodoma Jiji, Ally Salim amepata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa takribani mwezi mmoja. Salim aliye na clean sheet tano akishika nafasi ya pili nyuma ya Erick Johola wa Mashujaa mwenye sita, aliumia bega katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City, iliyopigwa Uwanja wa Sokoine, Feb 3, 2026. Akizungumza na…

Read More

Makapu, Bahanuzi waukubali mziki wa Bacca

MWENDELEZO wa kiwango anachokionyesha beki wa Yanga, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ kimemuibua kiungo wa Bigman FC iliyopo Ligi ya Championship, Said Juma ‘Makapu’ anayeamini kinatokana na uvumilivu na nidhamu, huku straika mwingine wa kimataifa wa zamani, Said Bahanuzi akimpigia saluti. Makapu aliyewahi kuichezea Yanga aliuelezea uchezaji wa Bacca kuwa ni wa kutumia nguvu, akili na kasi,…

Read More

FAR Rabat watia mkono mechi ya Yanga

YANGA inapiga hesabu kwa sasa ni namna gani kikokotoo chake kitatoboa ili itinge robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini wale Waarabu wa Morocco wameibuka na kutia mkono mechi ijayo ya Zanzibar wakiwajaza upepo JS Kabylie ya Algeria kwamba wafanye kweli. …

Read More

Kocha Simba: Okello mtamu akicheza hapa!

MASHABIKI wa soka wa Yanga bado hawajui kilichoipata timu hiyo yenye nyota wakali na walioonekana huenda ikawa timu pekee ya Tanzania kutinga robo fainali kabla ya upepo kubadilika ghafla, lakini kuna kocha mmoja ameamua kufichua ‘code’ zinazoweza kuwabeba wananchi katika mechi ya mwisho ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Kabylie…

Read More