Uchaguzi mkuu waahirisha kufungua shule Uganda

Wizara ya Elimu na Michezo nchini Uganda imetangaza kuahirishwa kufunguliwa kwa shule na taasisi zote za elimu nchini humo hadi Jumanne, Februari 10, 2026, ikitaja sababu za Uchaguzi Mkuu nchini humo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kusainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Dk Kadrace Turyagyenda leo Ijumaa Januari 16, 2026 imeeleza kuwa…

Read More

Mwili wa mtoto mchanga watupwa shambani Arusha

Arusha. Simanzi imetawala leo Januari 15, 2026 katika Mtaa wa Korongoni jijini Arusha baada ya mwili wa mtoto mchanga mwenye jinsia ya kike kukutwa umetupwa pembezoni mwa shamba la migomba. Mwili wa mtoto huyo umekutwa shambani ikiwa zimepita siku tano tangu mwili mwingine wa mtoto wa kike kukutwa kwenye mfuko wa salfeti kwenye takataka jijini…

Read More

Mkuu wa Umoja wa Mataifa aonya juu ya ulimwengu katika machafuko huku hali ya kutokujali na kutotabirika kunavyoenea – Masuala ya Ulimwenguni

Akizungumza katika Mkutano Mkuu, Mhe alisema mfumo wa kimataifa ulikuwa chini ya matatizo ambayo hayajawahi kutokea kutokana na vita, mgawanyiko, uharibifu wa hali ya hewa na mmomonyoko wa heshima kwa sheria za kimataifa. Aliitaja hotuba hiyo kama utambuzi wa matatizo ya sasa ya kimataifa na kujitolea binafsi kushinikiza mabadiliko katika mwaka wake wa mwisho madarakani….

Read More

TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA JAPAN, IFAD.

Na. Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yoichi Mikami na Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng, ambapo wamejadili namna ya kuimarisha zaidi ushirikiano…

Read More

Omary Chibada anukia KMC FC

KMC inaendelea na maboresho katika dirisha hili dogo la usajili ambapo kikosi hicho cha Kinondoni jijini Dar es Salaam kiko kwenye hatua za mwisho za kumsajili kiungo Omary Chibada. Kiungo huyo mkabaji anayeichezea Mbeya City aliyojiunga nayo mwanzoni mwa msimu akitokea Kagera Sugar, yupo katika mazungumzo na KMC ambayo imeonyesha nia ya kumhitaji ili kuongeza…

Read More